Home Blog Page 2

Ajuza wamiaka80 asaidia mama wajawazito (Video)

CGN
by Christine Musundi https://youtu.be/TFTg4d1RTFA  Nyanya mwenye miaka 80 kaunti ya busia katika kijiji cha budokomi amejitolea kuwasaidia kina mama wajawazito kulea mimba zao hadi watakapofika kilele cha kujifungua, akishirikiana pamoja na Hospitali ya Mandende kaunti ndogo ya Nambale. Akiwa nyumbani kwake amehoji kuwa yeye hufanya kazi hiyo wakati wowote anapoitwa au kutembelewa na mteja anayehitaji kuhudumia.wakati huo huo ametaja kuwa angependa wahudumu...

Mwanaume na kipaji cha Ususi Mayanja, Bungoma(Video)

photo by CGN
By Mercy Wangila Ususi wa nywele umejulikana kama kazi ya watu wa jinsia ya kike pekee, lakini kauli hiyo imeonekana kukanushwa na baadhi ya vijana, ambapo wengi wao wamedai kutopata ajiri hata baada ya kuhitimu masomoni. https://youtu.be/RMyRIc-qyuY Katika eneo la Mayanja Kaunti ya Bungoma, nimekutana na mwanamume mmoja, raia wa nchi jirani ya Uganda, kijana aliyesomea taaluma ya ualimu na hatimaye kusomea...

Bungoma county ; Police storm in action to arrest Covid-19 Health rule breakers.

By Mukavi Emmanuel   Bungoma police officers experienced a had time to arrest Covid-19 health rule-breakers in the Town centres who had not put on masks. This comes as a measure to control the spread of the deadly Virus since its outbreak in March 2020in Kenya. A month ago, Bungoma Deputy County Commissioner Duncan Okwachhad warned people who will not adhere to...

Hamasisho dhidi ya Corona mpakani Busia Teso Kusini

By Christine Musundi Wiki chache zilizopita wakenya wengi wameonekana kukaidi maagizo yakuzuia maambukizi zaidi ya Corona.Wengi wao wametangamana kwa kutozingatia kanuni zilizowekwa na wizara ya afya. katika Kaunti ya Busia Teso Kusini kata ndogo ya Kotur,wakazi wanajaribu kadri ya uwezo wao kudhibiti maambukizi hayo. https://youtu.be/ta866y0xEUI Hata hivyo Dennis Irono chifu wa maeneo hayo, ameanzisha vikundi mbalimbali miongoni mwao wanabodaboda ili kuwahamasisha wanakijiji ...

“Support students in achieving education” urges school principal.

CGN
By Emmanuel Mukavi,   The principal  Sichei Secondary school Mr Orikodi Fedrick urged the parents and teachers to engage students especially candidates in guiding and counselling session. The principal said this in his office during an interview with the County Guardian News to mark the reopening of students since their break from school in March 2020. The Ministry of Education announced the reopening...

The Great seer of Bukusu community

By Mercy Asami and Zepparine Mabele, The beautiful historical site by the name Sikele sia Mulia found in Bungoma County located along Sang’alo road opposite Chemululuchi primary school, has been a center of attraction for years. The beautiful site has caught many eyes of people from different parts of the world and across the country. According to the history of the...

Bungoma County; Relief as street youths benefit from donor.

Photo By CGN
By Emmanuel Mukavi, Today, more than fifty youths converged in Bungoma airstrip to receive free donations from Pst Joseph Mukolwe of Restoration Centre of Hope Bungoma. https://www.youtube.com/watch?v=bhSOKF8C0z0 The outbreak of COVID-19 in Kenya in March come alongside with economic crisis in the World. Most developing countries were in financial strain to revamp the economy since macro and micro business encountered big losses. Life...

Meet clergy behind succes of street families in Bungoma.

CGN
By MUKAVI EMMANUEL, Have you ever thought of street families,? Pastor Joseph Mukolwe of Restoration center of hope in Bungoma county has changed the life of street families in Bungoma County. The number of street families in Kenya had increased in the past decades due to urbanization in the past years. The increase ascends from major cities in Kenya such as...

Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Kibabii wako tayari kupata masomo

21CA
By Mercy Wangila “Masomo, ni ufunguo wa maisha “, wahenga walisema, naukimwelisha mtoto wa kike, bila shaka umeelimisha jamii. Leo hii nimeangazia hali halisi katika Shule ya Msingi ya Mtakatifu Maria ya Malazi ya Kibabii. Takriban miezi saba hivi, visa vya mimba za mapema vimeshuhudiwa kuongeka miongoni mwa wanafunzi wa kike, ambao wamedai kutoweza kumudu visodo vya kutumia wakati wa hedhi....

Hali tete,Ukosefu wa walimu na madarasa

By Mercy Wangila Munamo Machi mwaka huu, covid-19 ilizuka nchini Kenya.Shughuli nyingi zilisitishwa zikiwemo za masomo. Wanafunzi wakalazimika kurudi nyumbani njia mojawapo wa kudhibiti maambukizi zaidi.Sheria na masharti ziliwekwa kufuatwa na kila mwananchi. Takriban siku 180 baadaye , wanafunzi wa darasa la 8 na gredi ya 4 waliamrishwa kurejea shuleni kwendelea na masomo yao, wakuu wa shule wakawa na hofu ya...

Latest article

Bungoma; Relief to learners as government disburse desks in school.

By Emmanuel Mukavi The government through the Ministry of Education disbursed 50 desks in Geff Brown Girls Secondary school in Sirisia, Bungoma County. The school...

Juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa kisukari (Video)

Wallace wanjala Naibu Gavana wa kaunti ya trans nzoia Stanely Tarrus ametoa wito kwa wakazi wa kaunti hiyo na wananchi kwa ujumla kuwajali wangonjwa wa...

Mwanabiashara Namasaka atofautiana na kauli ya waislamu: BBI (video)

Kauli ya uongozi wa dini islam nchini kumtaka rais Kenyatta kusitisha kampeni za BBI na kuzingatia juhudi za kukabili gonjwa la korona imepngwa vikali...