Mweka Hazina Wa ODM Timothy Bosire Ampoteza Mkewe

0
52
image showing message of condolence

By Asma Zakir

Mweka hazina wa chama cha ODM Timothy Bosire anaomboleza kufuatia kifo cha mkewe Jane Bosire kilichotokea usiku wa Jumanne Julai,20,2021.

image showing message of condolence

Jane Bosire alifariki dunia usiku wa Jumanne Julai alipokuwa akipokea matibabu katikka hospitali ya Nairobi. Marehemu amekua akugua kwa muda mrefu lakini haijabainika alikuwa akiugua ugonjwa upi.

Wakenya wakiongozwa na viongozi w chama cha ODM wanaomboleza kifo chake kupitia mitandao za kijamii. Chama cha ODM kusimama na familia ya mwenda zake wakati huu wa majonzi na huzuni.

 

 

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here